09/01/2025
photos ✅ DEJONG AACHANA NA MKE WAKE ..
Mchezaji wa zamani wa Buja City, Ntate Djumapili maarufu kwa jina la Dejong, ameibua mjadala mpya baada ya kufunguka katika maojiano na APM photos .
Djumapili🇧🇮 mwenye makazi yake Ubelgiji aliweka wazi kuwa ameachana na mkewe MARINE, kwa sababu ya kutokuelewana
Dejong amethibitisha kwa kusema :
>
photos