13/06/2026
Muigizaji maarufu Nchini Tanzania leo Juni 13 amethibitisha kupata mtoto ambaye mpaka sasa bado hajaweka wazi jinsia yake k**a ni wakiume au wakike.
Kupitia ukurasa wake wa Wema Sepetu amechapisha picha ya mguu wa mtoto na kuandika ujumbe unaosomeka hivi 👉 "nyieeeee"
✍️ |