INFOR10Tv Swahili

INFOR10Tv Swahili Acteur Politique / Jurist / Journalist Politique Pstvnews5 moving forward no stop in our srvices

DRC: Rais Félix Tshisekedi aliwasili Zanzibar siku ya Jumanne kutoa rambirambi kwa mwenzake wa Tanzania, Samia Suluhu Ha...
09/09/2026

DRC: Rais Félix Tshisekedi aliwasili Zanzibar siku ya Jumanne kutoa rambirambi kwa mwenzake wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe.

 : Constant Mutamba, Waziri wa zamani wa Sheria, na Chançard Bolukola, aliyekuwa mratibu wa muda wa FRIVAO, watajulishwa...
08/09/2026

: Constant Mutamba, Waziri wa zamani wa Sheria, na Chançard Bolukola, aliyekuwa mratibu wa muda wa FRIVAO, watajulishwa hatima yao kesho, Jumatano, katika kesi ya FRIVAO.

Upande wa mashtaka umeomba kifungo cha miaka 15 jela kwa kila mmoja wa washtakiwa hao wawili.

 : Kenya yatoa msamaha wa muda kwa raia wa Afrika Mashariki wasio na nyaraka
08/09/2026

: Kenya yatoa msamaha wa muda kwa raia wa Afrika Mashariki wasio na nyaraka

 : Aliyekuwa mume wa Rais, Samia Suluhu Hassan Mzee Hafidhi Ameir Hassan amezikwa Jana Kizimkazi mkoani Kusini Unguja, Z...
08/09/2026

: Aliyekuwa mume wa Rais, Samia Suluhu Hassan Mzee Hafidhi Ameir Hassan amezikwa Jana Kizimkazi mkoani Kusini Unguja, Zanzibar.

Mzee Hafidhi amefariki jana saa 2 asubuhi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar.

Viongozi mbalimbali akiwamo Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu, Dkt Mwiguli Nchemba wameshiriki mazishi hayo yaliyofanyika leo alasiri.

Pia mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi wakuu wastaafu, Serikali, dini, vyama vya siiasa, Mahak**a, Bunge, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, familia, marafiki pamoja na waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye alielezea kupokea taarifa za kifo cha mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir Hassan kwa ...
07/09/2026

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye alielezea kupokea taarifa za kifo cha mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir Hassan kwa masikitiko akituma salamu rambirambi kwa niaba yake na wananchi wa Burundi

 : Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefiwa na mume wake aitwae Hafidh Ameir Hassan al...
07/09/2026

: Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefiwa na mume wake aitwae Hafidh Ameir Hassan aliyekuwa akipatiwa matibabu ya maradhi ya moyo Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amethibitisha taarifa hiyo, na kusema Hafidh amefariki leo Septemba 7, 2026, na taratibu za mazishi zinaendelea Kizimkazi Zanzibar.

DRC: Sio kawaida kwa mtu aliyehudumu k**a rais kwa miaka 18 kuweza kuketi mezani leo na Makenga na Bisimwa.Ikiwa-kwa sab...
05/09/2026

DRC: Sio kawaida kwa mtu aliyehudumu k**a rais kwa miaka 18 kuweza kuketi mezani leo na Makenga na Bisimwa.

Ikiwa-kwa sababu zake mwenyewe, ambazo hazikubaliki wazi-anageuka kuwa waasi, basi lazima aalikwe kwenye meza; kwa sababu k**a hayupo hatutakuwa na amani.

[ Jacques Djoli juu ya Joseph Kabila ]

DRC – Lambert Mende: Naunga mkono ubunifu wa mapendekezo yanayolenga kuondoa matumizi ya silaha k**a njia ya kushinikiza...
04/09/2026

DRC – Lambert Mende: Naunga mkono ubunifu wa mapendekezo yanayolenga kuondoa matumizi ya silaha k**a njia ya kushinikiza madai.

DURBAN AFRICA KUSINI🇿🇦: VURUGU ZA RIPOTIWA KATI  YA RAIA WAKIGENI NA KUNDI LINALOPINGA UWEPO WA RAIA WAKIGENI MARCH AND ...
03/09/2026

DURBAN AFRICA KUSINI🇿🇦: VURUGU ZA RIPOTIWA KATI YA RAIA WAKIGENI NA KUNDI LINALOPINGA UWEPO WA RAIA WAKIGENI MARCH AND MARCH ‼️

Mida ya mchana Alhamisi ya leo tarehe 03 Agasti 2026

Vurugu kubwa zimeripotiwa mjini Durban kati ya kundi linalopinga uwepo wa rahia wakigeni Nchini Africa kusini MARCH AND MARCH na Raia wakigeni.

Kulingana na taarifa tulizo nazo ni kuwa, kundi la MARCH AND MARCH limefika More road Durban ambapo imegeuka makazi ya Muda kwa Raia wakigeni baada ya kufukuzwa makazi kwao kwa kuofia usalama wa maisha.

Mashuuda na viongozi wa Raia hao wakigeni wamedahi kwamba kundi hilo la March and March lilikuja kuwavamia na kusababisha vurugu kubwa huku watu wakipigwa ,vitu kuvunjwa na kusababisha Uharibifu Mkubwa..

Takwimu zinasema Raia watano wakigeni walijeruhiwa na mtoto mdogo kuzimia kwa mshtuko huku wawili wakishikiliwa na jeshi la polisi Kwa maelezo ya viongozi hao .

Hadi Sasa polisi ahitowa udhibitisho wowote kuusu ripoti hizo.

  AFRICA KUSINI🇿🇦: VURUGU ZA RIPOTIWA KATI  YA RAIA WAKIGENI NA KUNDI LINALOPINGA UWEPO WA RAIA WAKIGENI MARCH AND MARCH...
03/09/2026

AFRICA KUSINI🇿🇦: VURUGU ZA RIPOTIWA KATI YA RAIA WAKIGENI NA KUNDI LINALOPINGA UWEPO WA RAIA WAKIGENI MARCH AND MARCH ‼️

Mida ya mchana Alhamisi ya leo tarehe 03 Agasti 2026

Vurugu kubwa zimeripotiwa mjini Durban kati ya kundi linalopinga uwepo wa rahia wakigeni Nchini Africa kusini MARCH AND MARCH na Raia wakigeni.

Kulingana na taarifa tulizo nazo ni kuwa, kundi la MARCH AND MARCH limefika More road Durban ambapo imegeuka makazi ya Muda kwa Raia wakigeni baada ya kufukuzwa makazi kwao kwa kuofia usalama wa maisha.

Mashuuda na viongozi wa Raia hao wakigeni wamedahi kwamba kundi hilo la March and March lilikuja kuwavamia na kusababisha vurugu kubwa huku watu wakipigwa ,vitu kuvunjwa na kusababisha Uharibifu Mkubwa..

Takwimu zinasema Raia watano wakigeni walijeruhiwa na mtoto mdogo kuzimia kwa mshtuko huku wawili wakishikiliwa na jeshi la polisi Kwa maelezo ya viongozi hao .

Hadi Sasa polisi ahitowa udhibitisho yeyote kuusu ripoti hizo.

Address

Durban

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when INFOR10Tv Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to INFOR10Tv Swahili:

Shortcuts

Share