Cyprian Aluda

Cyprian Aluda Real Moments, Real Frames. Digital creator.

Football are made of moments like this. The young boy will live to remember ๐Ÿ˜.
21/06/2026

Football are made of moments like this. The young boy will live to remember ๐Ÿ˜.

Janabi ๐Ÿ”ฅ Mziki na soka ni ndugu na dada๐Ÿ˜.
21/06/2026

Janabi ๐Ÿ”ฅ Mziki na soka ni ndugu na dada๐Ÿ˜.

Italeta jina gani? Kwale was good๐Ÿ˜.
21/06/2026

Italeta jina gani? Kwale was good๐Ÿ˜.

Mkufunzi wa Tusker FC Julien Mette alizidiwa na hisia baada ya kutwaa ubingwa wa Mozzart Cup 2026. Ubingwa raha ila ya k...
21/06/2026

Mkufunzi wa Tusker FC Julien Mette alizidiwa na hisia baada ya kutwaa ubingwa wa Mozzart Cup 2026. Ubingwa raha ila ya kwake ilikuwa ni dhahiri kuwa amekuwa na msimu mgumu na ahatimaye jua limemwonekania. Machozi ya furaha hayo.

Thats why i was recording ๐Ÿ˜.
20/06/2026

Thats why i was recording ๐Ÿ˜.

Hii band ya Kenya Police FC huwa noma ๐Ÿ˜.
20/06/2026

Hii band ya Kenya Police FC huwa noma ๐Ÿ˜.

Kipa wa KCB Elvis Ochoro ndiye alikuwa kipa bora kwenye mashindano ya Mozzart Cup 2026. Hakufungwa kwenye mechi tano amb...
20/06/2026

Kipa wa KCB Elvis Ochoro ndiye alikuwa kipa bora kwenye mashindano ya Mozzart Cup 2026. Hakufungwa kwenye mechi tano ambazo alicheza kwenye mashindano hayo. Kijana ametulia sana, kazi yake mtaiona uwanjani.

A day to remember! Had the honor of photographing Djibril Cissรฉ, former Liverpool, Marseille, Sunderland, and France nat...
18/06/2026

A day to remember! Had the honor of photographing Djibril Cissรฉ, former Liverpool, Marseille, Sunderland, and France national team star.Thank you so much for the opportunity such a humble guy ๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ.

Nyota wa Tusker Ian Simiyu amekuwa na msimu mzuri wa 2025/2026 punde tu baada ya kushinda Mozzart Cup wikendi iliyopita ...
18/06/2026

Nyota wa Tusker Ian Simiyu amekuwa na msimu mzuri wa 2025/2026 punde tu baada ya kushinda Mozzart Cup wikendi iliyopita alifunguka kwamba yuko tayari kabisa kwa ofa nzuri ambazo zitakuja upande wake na haswa za nje ya nchi.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cyprian Aluda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category