12/06/2026
Mp Oscar Sudi: "Kufikia sasa William Ruto hana mpinzani na ata akikua naye hakuna kitu atamfanyia kwa sababu Tutam ya Ruto ni lazima. Ule wamunyoro ambaye alikua analeta shida kidogo mahakama ilipeleka yeye nyumbani milele.
Hawa wamebaki ata nyinyi mnajua hawawezanai na sisi. Kura ya Ruto 2027 itakua 95% ya kura zote ambazo wakenya watapiga 2027. Ata kura isipotosha tutajaza!"