Kijiweni Productions

Kijiweni Productions 'Tujiwakilishe, Tujivunie, Tupige Stori.'

'Let's represent ourselves, Let's be proud of ourselves, Please email us for service rental rates.

Kijiweni Productions is the new cat in town that wants to make movies. Forget the misleading stereotypes you see in mainstream cinema, it is time to tell our own stories. In addition to making films, Kijiweni Productions offers filmmaking services such as Cinematography, Editing, Lighting and Directing. Equipment for all these specializations are available. Visit the company website for more information.

20/08/2026

Join us tomorrow at the Mashariki Expo 2026 for the ✨book launch of the English translation ✨of Shafi Adam Shafi’s beloved novel Vuta N’kuvute🌊🌊Tug of War.

Mkuki na Nyota CDEA
📍Mlimani City
⏰6:00 pm
📆21.08.2026

17/08/2026

Filamu Live ndani ya Mashariki Expo 2026 (CDEA ) ✨
Ni hadithi, hadithi kutoka Afrika Mashariki. Msikose, filamu fupi 6 kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.

Tukutane pale Kawe beach🌴🌊
kijiweniproductions x ajabu ajabu
——————————————————————-
⏰Saa moja jioni
📍Kawe Club
📆Jumanne, 18.08.2026

Filamu Live! at Mashariki Expo 2026 ()✨
We will be bringing you tales from East Africa, featuring 6 short films from Tanzania, Kenya na Uganda.

Be there, or be there😎
kijiweniproductions x ajabu ajabu
——————————————————————-
⏰7:00 PM
📍Kawe Club
📆Tuesday, 18.08.2026

Filamu Live! inakuletea filamu ya “Bongo na Flava”🎥✨muongozaji: RrahC Yaani kila  ndoto ina bei yake, na kila safari ina...
23/06/2026

Filamu Live! inakuletea filamu ya
“Bongo na Flava”
🎥✨muongozaji: RrahC

Yaani kila ndoto ina bei yake, na kila safari ina majaribu yake. Bongo na Flava inakuletea simulizi la maisha, muziki na mapambano ya vijana wa Kitanzania kwa namna ambayo ni ya kipekee,karibuni nyote ni hakuna kiingilio.

📆 IJUMAA, 25 JUNI
📍Meko Football Grounds, Kunduchi Mtongani
⏰SAA MOJA JIONI

(Bolt na Google maps: location ni Meko Football Grounds)

ajabu ajabu Bongohoodz Pichaz

Jana tulipata fursa ya kushiriki katika Warsha ya uonyeshaji wa Filamu kwa Umma na Mjadala wa Jukwaa ulioandaliwa na Nat...
17/06/2026

Jana tulipata fursa ya kushiriki katika Warsha ya uonyeshaji wa Filamu kwa Umma na Mjadala wa Jukwaa ulioandaliwa na National Museum of Tanzania kwa ushirikiano na Tanzania Film Board pamoja na The Metropolitan Museum of Art (The Met).

Tunashukuru kuwa sehemu ya jukwaa hili muhimu lililowakutanisha wataalamu wa makumbusho, wadau wa filamu na wapenda utamaduni kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu.

The Metropolitan Museum of Art

11/06/2026

Filamu Live! yaani dakika chache ila kumbukumbu nyingi.

Usikose kuhudhuria Filamu Live!, inayofanyika mara moja kila mwezi katika maeneo ya wazi, hii ni sehemu ambapo filamu hukutana na watazamaji kuunda uzoefu na kuenzi upekee wa filamu za kila aina.

Karibu tuendelee kusherehekea na kukuza filamu pamoja. 🎬

Baadhi ya maandalizi yaliyofanyika katika siku ya Filamu Live Jumamosi 🎬✨Kila kitu kilikuwa kikiandaliwa kwa ajili ya ku...
11/05/2026

Baadhi ya maandalizi yaliyofanyika katika siku ya Filamu Live Jumamosi 🎬✨

Kila kitu kilikuwa kikiandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha hadhira mnakuwa kwenye mazingira mazuri ya kuburudika, kufurahia na kuipokea filamu yetu ya nyumbani ya “CHIPSI KUKU” kwa utofauti zaidi.



🎥

FILAMU LIVE! TUKUTANE JUMAMOSI HII.Kijiweni Productions & Ajabu Ajabu wanakuletea  filamu ya “CHIPSI KUKU” katika Filamu...
06/05/2026

FILAMU LIVE! TUKUTANE JUMAMOSI HII.

Kijiweni Productions & Ajabu Ajabu wanakuletea filamu ya “CHIPSI KUKU” katika Filamu Live!, hii ni ya kipekee chini ya anga la wazi.

Njoo ufurahie filamu, msisimko wa ufukweni mwa bahari na kukutana na wadau wa filamu na kupata burudani tofauti kabisa na ulizozoea 🎥🍿

📍 Kawe Beach (karibu na Kawe club)
📅 Jumamosi, 9 Mei
🕛 Saa 12 Jioni
🎟️ HAKUNA KIINGILIO

Mchongo mzima ni kufurahia sanaa, kukutanisha na watu mbalimbali na kusapoti filamu za nyumbani.

Mtayarishaji wa filamu maarufu Amil Shivji akiwa na waandaaji filamu za makala bunifu wa k**e kutoka Pazamwendo katika k...
29/04/2026

Mtayarishaji wa filamu maarufu Amil Shivji akiwa na waandaaji filamu za makala bunifu wa k**e kutoka Pazamwendo katika kikao cha uelekezaji kilichokuwa kimeanzia Mwanza,ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo ya utayarishaji wa filamu.

Filamu ya KABURI WAZI(THE EMPTY GRAVE) imeshinda kwenye tuzo za FIFOI katika visiwa vya Reunion kwa ukanda wote wa Bahar...
27/04/2026

Filamu ya KABURI WAZI(THE EMPTY GRAVE) imeshinda kwenye tuzo za FIFOI katika visiwa vya Reunion kwa ukanda wote wa Bahari ya Hindi,imeshinda katika kipengele cha makala ndefu ya kawaida (Feature-Length Documentary).

FIFOI ni Tamasha la Kimataifa la Filamu la Ukanda wa Bahari ya Hindi linaloadhimisha ubunifu na vipaji kutoka katika ukanda huu na ushindi huu ni hatua kubwa kwa Kaburi Wazi pamoja na tasnia ya filamu ya Tanzania kwa ujumla.

Thanks to and Embassy for coordinating the travel.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijiweni Productions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kijiweni Productions:

Shortcuts

Share