Pastor Kamgisha

Pastor Kamgisha °Heavenly Man
°In Christ I Stand°
°Daughter of King of King°
Pastor: TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD

Tazama Ibada Hii Youtube:  https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA  HABARI NJEMA FT LOYCE  // YESU ...
23/08/2026

Tazama Ibada Hii Youtube: https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA

HABARI NJEMA FT LOYCE // YESU NINAKUINULIA MIKONO

Katika wimbo huu wa “Yesu ninakuinulia Mikono”, tunaungana katika ibada, sifa na kumtukuza Kristo kwa moyo wote. Tunamtangaza Yesu kuwa ndiye anayestahili utukufu, heshima, sifa na kuabudiwa milele.

Tazama Ibada Hii Youtube:  https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA  HABARI NJEMA FT LOYCE  // UTAMB...
23/08/2026

Tazama Ibada Hii Youtube: https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA

HABARI NJEMA FT LOYCE // UTAMBULISHO WA KIMUNGU

Wewe ni mwana wa Mungu, uzao mteule, kuhani wa kifalme, taifa takatifu na mtu wa milki ya Mungu. Umeitwa kutoka gizani Uingie katika nuru Yake ya ajabu. Maisha yako yana thamani, mwito, kusudi na nafasi katika mpango wa Mungu.

🎧 Sikiliza kwa imani.
🙏 Tamka kwa moyo.
🔥 Ishi katika utambulisho wako.
👑 WEWE NI WA MUNGU!

Tazama Ibada Hii Youtube:  https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA  HABARI NJEMA FT LOYCE  // YESU ...
23/08/2026

Tazama Ibada Hii Youtube: https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA

HABARI NJEMA FT LOYCE // YESU UTAWALE

Katika wimbo huu wa “Yesu Utawale”, tunaungana katika ibada, sifa na kumtukuza Kristo kwa moyo wote. Tunamtangaza Yesu kuwa ndiye anayestahili utukufu, heshima, sifa na kuabudiwa milele.

Tazama Ibada Hii Youtube:  https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA  HABARI NJEMA FT PASTOR ELIAS  /...
23/08/2026

Tazama Ibada Hii Youtube: https://www.youtube.com/live/XaJVUYZ1hbo?si=IfUcbUNrbABKf2gA
HABARI NJEMA FT PASTOR ELIAS // UTAMBULISHO WA KIMUNGU
Wewe ni mwana wa Mungu, uzao mteule, kuhani wa kifalme, taifa takatifu na mtu wa milki ya Mungu. Umeitwa kutoka gizani Uingie katika nuru Yake ya ajabu. Maisha yako yana thamani, mwito, kusudi na nafasi katika mpango wa Mungu.
🎧 Sikiliza kwa imani.
🙏 Tamka kwa moyo.
🔥 Ishi katika utambulisho wako.
👑 WEWE NI WA MUNGU!

  : Pastor Kamgisha I Sunday Worship Tazama Ibada Hii Youtube kwa Kugusa Link hii!https://www.youtube.com/live/t0b1aV8Ar...
09/08/2026

: Pastor Kamgisha I Sunday Worship

Tazama Ibada Hii Youtube kwa Kugusa Link hii!
https://www.youtube.com/live/t0b1aV8ArzI?si=j5qnQO4Bb4JxJD_F

Katika ibada hii tunaingia mbele za Mungu kwa imani, tukisimama juu ya Neno lake na kuomba dhidi ya kila madhabahu, kafara, agano na mpango wa uovu unaolenga kuzuia kusudi la Mungu katika maisha yetu.

🙏 Tunaomba kwa ajili ya:
• Kuvunjwa kwa nguvu za giza na kazi za uovu
• Kila kafara inayotolewa kinyume na maisha na kusudi la Mungu
• Kuvunjwa kwa maagano yasiyopatana na mapenzi ya Mungu
• Ulinzi wa Mungu juu ya familia na maisha yetu
• Urejesho wa baraka, amani na kusudi la Mungu
• Ushindi kupitia damu na jina la Yesu Kristo

Usiangalie ibada hii k**a mtazamaji tu—shiriki kwa imani, omba pamoja nasi, na mwamini Mungu kwa ajili ya ushindi wako.

Karibu katika Ibada Maalum ya Kuanza Mwezi wa Nane Itakayofanyika Jumapili hii jioni saa 10:00-12:00 !Tunakualika kwa mo...
01/08/2026

Karibu katika Ibada Maalum ya Kuanza Mwezi wa Nane Itakayofanyika Jumapili hii jioni saa 10:00-12:00 !

Tunakualika kwa moyo wote kuungana nasi katika ibada ya maombi, sifa, kuabudu na Neno la Mungu tunapoanza mwezi wa nane chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu.

Katika ibada hii tutamwomba Mungu avunje kila nguvu ya roho ya kukataliwa, aondoe vizuizi vya kiroho, afungue milango ya neema, kibali na mafanikio, na kutuanzishia msimu mpya wa ushindi.

Njoo ukiwa na imani, maana Mungu anaweza kubadilisha historia yako kwa neno moja. Mwezi huu hautakuwa k**a miezi iliyopita—utakuwa mwezi wa kibali, urejesho na ushindi katika jina la Yesu.

Ungana nasi Live Kupitia Youtube , Facebook na Tiktok

Karibu sana! Mungu akubariki.

Address

Mtwara
96

Telephone

+255625970301

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Kamgisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pastor Kamgisha:

Shortcuts

Share