Uwanja wa Imani.

Uwanja  wa Imani. KIJANA WA KIZANZIBAR

ZANZIBAR
TANZANIA

20/04/2026

jiunge nasi

Subscribe channel yetu ili uwe wa kwanza kupata darsa zetu, pia tunakuomba share sehemu mbali mbali kheyr kubwa itapatik...
20/04/2026

Subscribe channel yetu ili uwe wa kwanza kupata darsa zetu, pia tunakuomba share sehemu mbali mbali kheyr kubwa itapatikana.

SUBSCRIBE CHANNEL YETU YA ASW'HAAB QUR-AN WA SUNNAH

26/03/2026

JITIBU KWA HABBAT SAWDA NO.2
Kunyonyoka Nywele

Saga unga wa Habbat-Sawdaa katika juisi ya chirichiri pamoja na kijiko cha s**i nyepesi na kikombe cha mafuta ya zeituni, halafu sugua kichwani kwa mafuta hayo kila siku jioni pamoja na kukiosha kichwa kwa maji na sabuni kabla ya kupaka.

26/03/2026

DARSA YA MIRATHI NO.3

Sharti za kurithi
1.Kuwa na uhakika wa kifo cha mtu anae rithiwa, ima
kwa kushuhudia, au kwa kuhukumu kadhi, mfano: kwa
kupotea mtu muda mrefu sana.
2.Uhai wa wenye kurithi ima uwe wa uhakika au kwa
kukadiria, mfano: mama mwenye mimba.
3.Kujuwa ilimu ya mirathi, kuujua upande wote wa jamii
itakayo rithi.

Sababu za kurithi
1.Kwa uhusiano wa kizazi (Jamii)
2.Ndoa
3.Mtumwa aliye wachwa huru

Nguzo za kurithi
1.Anaerithiwa awe ameshafariki
2.Kupatikane wenye kurithi
3.Kuweko na kitu cha kurithiwa mfano: shamba, pesa n.k.

23/03/2026

Vipele (Chunusi) Na Ngozi:



Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha s**i ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwanja wa Imani. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uwanja wa Imani.:

Shortcuts

Share

Category