oscahkambonah

oscahkambonah Keeping our memories as something of great importance to us..

11/09/2025

Big shout out to my newest top fans! Eddy Chepkirui, Bw Ustadh Kambona Oscah

Kazi ya Mungu haina makosa 💖💘💙
31/08/2025

Kazi ya Mungu haina makosa 💖💘💙

Chewaa nyote ,(good morning), nachukua fursa hii satua na akali alonijalia Raufu kuwashukuru nyote wapenzi adhimu kwa he...
31/08/2025

Chewaa nyote ,(good morning), nachukua fursa hii satua na akali alonijalia Raufu kuwashukuru nyote wapenzi adhimu kwa heri zenu za dhati,himizo pamoja na mausia yenu mliyonipa na kunitakia wakati wa kuadhimisha siku muhimu na aula ya kuzaliwa kwangu,hakika siku ilikuwa ya kufana... Jalali na awakirimie aushi njema na ufanisi,🙏🙏🙏🙏❤️💙💜✨✨✨✨💫💫💫💫💝💝💝

Zaburi 139 (Biblia Takatifu)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹³ Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.¹⁴ N...
30/08/2025

Zaburi 139 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
¹⁴ Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana,
¹⁵ Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi;
¹⁶ Macho yako yaliniona kabla sijakamilika; Chuoni mwako ziliandikwa zote pia, Siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado.
¹⁷ Mungu, fikira zako zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake!
¹⁸ K**a ningezihesabu ni nyingi kuliko mchanga; Niamkapo nikali pamoja nawe.Kheri njema kwangu niadhimishapo siku hii adhimu na muhimu ya kuzaliwa kwangu, Shukran kwake Karima 🥳🥳🥳🎊🎉💙🙏✨✨✨💖💝💝

29/08/2025

Address

Bomet

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when oscahkambonah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to oscahkambonah:

Share