Iman TV

Iman TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Iman TV, Photographer, DARUL IMAAN ISLAMIYYAH, Isiolo.

πŸ”ΈMakala za Kijamii
πŸ”Ήvisa & history &
πŸ”ΈSimulizi za kufunza &kugusa Nyoyo
πŸ”ΉLengo nikuelimisha & Jamii Nzima
πŸ”ΈTunasimulia ili ujifunze uelimike
fb.com/stars

With Iman TV – I've just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!
02/06/2026

With Iman TV – I've just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!

01/06/2026

Ω‚Ψ±Ψ§Ω† Ψ³ΩˆΨ±Ω‡ Ψ§Ω„Ω†Ψ³Ψ§Ψ‘

Big shout-out to my newest top fans! Mu'umin Chudi, Mgazah Nduli, Rose Lwambi, Hussein Mkamba, Ram Teir Akwilombe, Joshu...
30/05/2026

Big shout-out to my newest top fans! Mu'umin Chudi, Mgazah Nduli, Rose Lwambi, Hussein Mkamba, Ram Teir Akwilombe, Joshua Mbondo, Rajaram Sontezos, Salo Salim, Billgate's Billhaz

Una maoni gani kuhusu ushirikiano kati ya nchi mbalimbali katika kuboresha huduma za afya Afrika?"Toa maoni yako kwenye ...
30/05/2026

Una maoni gani kuhusu ushirikiano kati ya nchi mbalimbali katika kuboresha huduma za afya Afrika?

"Toa maoni yako kwenye comments πŸ‘‡. Tujifunze pamoja kuhusu afya na namna ya kujikinga na magonjwa hatari." 🩺🌍🀝

🦠 EBOLA NI NINI? 🦠Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi. Huenea kupitia kugusana moja kwa moja na damu au maj...
30/05/2026

🦠 EBOLA NI NINI? 🦠

Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi. Huenea kupitia kugusana moja kwa moja na damu au majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa.

Dalili zake ni pamoja na:
βœ… Homa kali
βœ… Maumivu ya kichwa
βœ… Uchovu mkubwa
βœ… Kutapika na kuharisha
βœ… Maumivu ya misuli
βœ… Wakati mwingine kutokwa damu

Jinsi ya kujikinga:
βœ”οΈ Nawa mikono mara kwa mara

βœ”οΈ Epuka kugusa damu au majimaji ya mgonjwa

βœ”οΈ Fuata maelekezo ya wahudumu wa afya

Elimu ni kinga. Tuchukue tahadhari na tushirikishe wengine taarifa sahihi kuhusu Ebola.

🩺🦠

😭😭 Imagine this young souls are no more πŸ’”aki usipite bila kusema pole tu😭.
29/05/2026

😭😭 Imagine this young souls are no more πŸ’”aki usipite bila kusema pole tu😭.

𝕃𝕖𝕠 π•₯π•¦π•›π•¦π•’π•Ÿπ•– π•œπ•¨π•’ π•‘π•šπ•”π•™π•’ πŸ“·π•’π•Ÿπ•˜π•¦π•€π•™π•’ π•‘π•šπ•”π•™π•’ π•ͺπ•’π•œπ•  𝕀𝕦𝕑𝕦 π•¦π•’π•žπ•“π•šπ•¨π•– π•œπ•’π•žπ•’ π•¦π•žπ•–π•¨π•–π•«π•’πŸ˜https://www.facebook.com/profile.php?id=100067932974...
29/05/2026

𝕃𝕖𝕠 π•₯π•¦π•›π•¦π•’π•Ÿπ•– π•œπ•¨π•’ π•‘π•šπ•”π•™π•’ πŸ“·
π•’π•Ÿπ•˜π•¦π•€π•™π•’ π•‘π•šπ•”π•™π•’ π•ͺπ•’π•œπ•  𝕀𝕦𝕑𝕦 π•¦π•’π•žπ•“π•šπ•¨π•– π•œπ•’π•žπ•’ π•¦π•žπ•–π•¨π•–π•«π•’πŸ˜

https://www.facebook.com/profile.php?id=100067932974190

Address

DARUL IMAAN ISLAMIYYAH
Isiolo
11

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iman TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Iman TV:

Share

Category