LUkE MAJOR

LUkE MAJOR Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LUkE MAJOR, Photographer, 80, Kitale.

20/05/2024

JUNE inakaribia tuanze kulipwa weka account yako tukufollow

28/03/2024

Mzaliwa wa Februari 26, miaka 60 iliyopita, huko Honolulu, Hawaii Marekani huyu ni muigizaji na nguli wa sanaa ya mapigano (martial arts expert), akiwa na ubingwa wa mashindano mengi ya karate and kung fu wakati ana miaka 9 hadi 18 wazazi wakamuita MARK DACASCOS.

Baba yake, ambaye anafundisha watu sanaa za mapigano , Al Dacascos ni mfilipino mwenye asili ya ki-Malay, KI-Hispania na ki-China na mama yake, Moriko McVey, ana asili ya ki-Irish na ki-Japan.

Huyu ndiye yule wa kwenye filamu za Only The Strong (Utotoni tuliita Paranawee) na Drive.

Dacascos alikuwa muigizajoo baada ya kukutwa akitembea katikati ya mitaa ya San Francisco ndani ya Chinatown. Waliomkuta ni jamaa wawili bwaliokuwa wakifanya kazi kwa director Wayne Wang. Wakamuungsnisha naye, akashiriki kwenye filamu ya Dim Sum: A Little Bit of Heart, ambayo mwisho wa siku walitoa vipande vyake vingi lakini kutoka hapo akendelea kushiriki kwenye filamu na tamthilia akicheza k**a mpiganaji zaidi.

Mwaka 1993 ndiyo ulikuwa wake baadaye ya kutoka na filamu ya Only The Strong ambayo ilimtambulisha vilivyo kwenye ulimwengu wa sinema.

Amemuoa mwigizaji Julie Condra, ambaye walikutana kwenye ndege wakati wakielekea Vancouver, ambako wote walikuwa wanaenda kushiriki filamu ya Crying Freeman. Wana watoto watatu: Wa kiume wawili na binti mmoja.

Baadhi ya filamu alizoshiriki ni Cradle 2 the Grave,
Brotherhood of the Wolf, Sanctuary, American Samurai, Only the Brave, One Night in Bangkok, Blade of the 47 Ronin, John Wick: Chapter 3 – Parabellum na ile ya mwaka jana Knights of the Zodiac.

Ulimpenda zaidi kwenye filamu gani? Kufahamu mengi tupate pale YouTube Allan SalimBahatin Sanyamusic

Allan Salim a fast upcoming artist
27/03/2024

Allan Salim a fast upcoming artist

A great upcoming artist  salim we are coming
12/02/2024

A great upcoming artist salim we are coming

17/12/2023

Address

80
Kitale

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LUkE MAJOR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category