Kinda_demahom&amtaf

Kinda_demahom&amtaf show love � my nighas my Instagram username is follow me

22/08/2026
07/06/2026

KINGANGANIZI

31/05/2026

"Mpenzi wangu, wewe ni zawadi ya kipekee maishani mwangu. Kila siku unafanya moyo wangu uwe na furaha na amani. Nakuthamini sana, nakupenda kwa dhati, na natamani tuendelee kushikana mikono katika kila hatua ya maisha. Wewe ni wa thamani kubwa kwangu kuliko unavyoweza kufikiria." ❤️🌹

17/05/2026

“Tunapenda kuwatangazia wote kuwa mechi ilikuwa ya kirafiki na lengo lilikuwa ni burudani na kuonyesha vipaji. Kilichotokea baada ya mchezo hakikufurahisha kabisa, hasa vurugu na mashambulizi yaliyotokea. Tunaomba kila mmoja atulie na kuepuka maneno ya uchochezi au kulipiza kisasi. Ushindi na kushindwa ni sehemu ya mpira. Tunaheshimu kila team na tunataka amani irudi kati yetu. Kwa waliojeruhiwa tunawatakia nafuu ya haraka. Tuwe mfano wa michezo ya heshima na umoja.”

07/05/2026

mjinga haezi elewa mjanja tu

27/04/2026

SHEMEJI BABAKO

Address

Mtopanga
Mombasa

Telephone

+254799765530

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinda_demahom&amtaf posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category