26/10/2018
Salomé by diamond ft Raymond ----------;---------------------;---------------Versé 1 -----------Kioo akidanganyika mama Umejipodoa umepodoka Mwendo nashepu vyote mwanana Mimi suruari yanidondoka Tukimbizane nini Salomé wangu Iyo michezo ya jogoo Mbona watazama chini Salomé wangu Ukimuona jogoo Inama kidogo shika magoti Nimesimama k**a ngongoti Mtoto Jojo siyo roboti Chumbani bingilibingili sambasoti
Chorus ----------Unanitekenyaga ukinyonga Salomé Unanitekenyaga ukinyonga Unanitekenyaga ukinyonga kweri Unanitekenyaga ukinyonga aaha Hoera makutu vane,hoera ngambe Hoera na zari,hoera ngambe
Versé 2 ------------Utamu kolea aprokoto Ting'ari ting'ari ndani kwa moto Nitamnyongea msakato Niteme sumu kali k**a kaboko Eeh mapenzi yananipa shida Shida mama ni donda lisilokuwa na tuba Tiba bwana usije baby kanicharanga Kanichambua moyo k**a karanga
Mie baby kwenye msambwanda,hawa sienda Ngenge nganganga