Arusha boy and grlis whats app

Arusha boy and grlis whats app Nichek whats app kwa number I love u black people

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Ž: MARSEILLE YAINGIA VITANI KUMNASA ISSAH CHOLEKlabu kubwa ya soka ya nchini Ufaransa, Olympique de Marseil...
04/06/2026

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Ž: MARSEILLE YAINGIA VITANI KUMNASA ISSAH CHOLE

Klabu kubwa ya soka ya nchini Ufaransa, Olympique de Marseille, imeibuka kuwa miongoni mwa vilabu vinavyoonyesha nia ya dhati ya kuwania saini ya kiungo mahiri wa Serengeti Boys, Issa M***a Chole, kufuatia kiwango chake cha kuvutia alichokionyesha katika michuano ya AFCON U-17 iliyofanyika nchini Morocco.

Taarifa kutoka barani Ulaya zinaeleza kuwa mabosi wa Marseille wamekuwa wakifuatilia kwa karibu maendeleo ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 16, ambaye ameendelea kujijengea jina kubwa kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kutawala eneo la kiungo, kupiga pasi zenye usahihi mkubwa na kusoma mchezo kwa kiwango kinachoonekana kuzidi umri wake.

Chole alikuwa mmoja wa wachezaji muhimu walioiongoza Serengeti Boys kufikia fainali ya AFCON U-17 kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, huku akionesha ukomavu mkubwa katika mechi zote muhimu za mashindano hayo. Uwezo wake huo ulimfanya kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano (Man of the Competition), jambo lililomuweka kwenye rada za vilabu kadhaa vya Ulaya.

Inaelezwa kuwa idara ya usajili ya Olympique de Marseille imevutiwa na uwezo wake wa kucheza k**a kiungo wa kati mwenye jukumu la kujenga mashambulizi, huku pia akiwa na uwezo wa kusaidia majukumu ya ulinzi. Sifa hizo zimeonekana kuwa nadra kwa mchezaji wa umri wake na zimeifanya Marseille kuamini kuwa anaweza kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa wa baadaye katika soka la Afrika.

Mbali na Marseille, taarifa zinaeleza kuwa vilabu vingine viwili kutoka Ulaya vinaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya kiungo huyo wa Fountain Gate, lakini Marseille ndiyo klabu ambayo imeonekana kuwa mbele zaidi katika mbio za kutaka kupata huduma zake.

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Žkiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, anatarajiwa kutua nchini Tanzania muda...
26/05/2026

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Ž

kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, anatarajiwa kutua nchini Tanzania muda wowote kuja kukamilisha hatua za mwisho za kujiunga na mabingwa wa Tanzania, Young Africans

Inaelezwa kuwa mazungumzo kati ya pande zote mbili yamefikia hatua nzuri, huku Yanga wakiamini nyota huyo mwenye uzoefu mkubwa barani Afrika atakuwa sehemu muhimu ya kikosi chao msimu ujao wa mashindano ya ndani na kimataifa.

Chanzo cha karibu na dili hilo kinaeleza kuwa kilichobaki kwa sasa ni kukamilisha baadhi ya taratibu za mwisho.

JE, MASHABIKI WA Young Africans S.C. MPO TAYARI KUMPOKEA TENA Stephane Aziz Ki?

Follow

2M Football Management Chini Ya Matar Cisse Wapo Katika Mpango Wa Kumpeleka Winga Wa Simba Libasse Gueye Nchini Belgium(...
26/05/2026

2M Football Management Chini Ya Matar Cisse Wapo Katika Mpango Wa Kumpeleka Winga Wa Simba Libasse Gueye Nchini Belgium(Ubelgiji) Katika Timu ya Standard Liege Kufanya Majaribio Mwishoni Mwa Msimu Huu
β€Ž
β€ŽStandard Liege Endapo Watavutiwa Na Kiwango Cha Libasse Gueye Watapeleka Ofa Simba ya Kumsajili Libasse Gueye
β€Ž
β€ŽMatar Cisse Chini Ya Kampuni Yake Ndie Aliyesimamia Usajili Wa Libasse Gueye Kutoka Teungueth FC Kujiunga Na Simba
β€Ž

🚨BREAKING NEWS : GLODY LIKONZAJina La Glody Likonza Ni Miongoni Mwa Majina Yanayotizamwa K**a ingizo Jipya Katika Eneo L...
26/05/2026

🚨BREAKING NEWS : GLODY LIKONZA

Jina La Glody Likonza Ni Miongoni Mwa Majina Yanayotizamwa K**a ingizo Jipya Katika Eneo La Kiungo Wa Kati(Namba Nane 8) Upande Wa Simba

Glody Likonza K**a Usajili Wake Utakamilika Atakua Ndie Mrithi Wa Allasane Kante Ambaye Amekalia Kuti Kavu Katika Kikosi Cha Simba

Likonza Kwa Sasa Anacheza Usm Alger Ya Nchini Algeria Glody Likonza Amekua Akipata Nafasi Finyu Katika Kikosi Cha Usm Alger Chini Ya Kocha Lamine Ndiaye

Usajili Wa Likonza Unaweza Kukamilika Endapo Simba Wataamua Kuachana Na Allasane Kante

Follow

Creative Graphics Designer Booking:+255753330056 Or 0752643508KaribuniπŸ”‹ess_46            sunnymuziki                    ...
24/01/2026

Creative Graphics Designer
Booking:+255753330056 Or 0752643508

KaribuniπŸ”‹

ess_46
















sunnymuziki
























nairobikenya nairobian ignairobi 254fashion 254magazine nairobikenya 10over10 vscokenya tembeakenya nikonkenya homeofportraits publicity254 chill gainwithmtaaraw gainwithpaula gainwithbundi visitkenya magicalkenya exploreafrica madeinkenya
gainwithxtiandela gainwithpolasha igersnairobi gainwithmugweru nairobian ignairobi 254fashion nikonkenya madeinkenya loveloversland

njoo tuna magroup mengi ya arusha
22/01/2026

njoo tuna magroup mengi ya arusha

Creative Graphics Designer Booking:+255753330056 Or 0752643508KaribuniπŸ”‹
04/01/2026

Creative Graphics Designer
Booking:+255753330056 Or 0752643508

KaribuniπŸ”‹

Address

Banda Mbili
Arusha

Telephone

+255753330056

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arusha boy and grlis whats app posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category