Kingsolomonstudio

Kingsolomonstudio kutana na wabobevu wa Photoshoot kali za kisasa(Indoor & Outdoor) pia tunafanya Editing kwa very professional color!

tazama baadhi ya sample kwenye page zetu na karibu sana.

Every birthday deserves beautiful memories. Book your kids birthday photoshoot today! 📸0778570553Makumbusho- Dar es Sala...
19/08/2026

Every birthday deserves beautiful memories.
Book your kids birthday photoshoot today! 📸
0778570553
Makumbusho- Dar es Salaam.

Ndoto za watoto huanza na mawazo madogo, lakini kumbukumbu zake hudumu maisha yote. Happy birthday Paroko wa Gen Alpha🔥🔥...
19/08/2026

Ndoto za watoto huanza na mawazo madogo, lakini kumbukumbu zake hudumu maisha yote.
Happy birthday Paroko wa Gen Alpha🔥🔥

Tengeneza kumbukumbu za safari ya ukuaji wa mtoto wako na King Solomon Studio📸
Makumbusho - Dar es salaam.

Watoto hukua haraka kuliko tunavyotambua. Photoshoot si picha tu, ni njia ya kuhifadhi tabasamu, hatua na kumbukumbu amb...
15/08/2026

Watoto hukua haraka kuliko tunavyotambua. Photoshoot si picha tu, ni njia ya kuhifadhi tabasamu, hatua na kumbukumbu ambazo hazitarudi tena. ♥️
Book session yako sasa. 0778570553

13/08/2026

Photoshoot ya familia au mzazi na mtoto huimarisha kumbukumbu za upendo na kujenga bond.
Usisubiri tukio maalum, wekeza kwenye family photoshoot yako leo na King Solomon Studio
Makumbusho - Dar es salaam 0778570553
Behind the Scene 📸

Mtoto wako atabaki na umri huu kwa muda mfupi tu,lakini picha nzuri zinaweza kuhifadhi hatua hii milele. 🤍Kwa First Birt...
11/08/2026

Mtoto wako atabaki na umri huu kwa muda mfupi tu,lakini picha nzuri zinaweza kuhifadhi hatua hii milele. 🤍

Kwa First Birthday Session, hatulengi kupiga picha tu. Tunatengeneza story ya mtoto na familia yake.

📍 King Solomon Studio,
Makumbusho, Dar es Salaam.

Unapanga birthday ya mtoto wako?
Book session yako kupitia WhatsApp 0778570553.

Mwaka mmoja umepita haraka, lakini kumbukumbu nzuri hudumu maisha yote. 💛 Happy 1st Birthday AYANA.Book birthday photosh...
05/08/2026

Mwaka mmoja umepita haraka, lakini kumbukumbu nzuri hudumu maisha yote. 💛 Happy 1st Birthday AYANA.
Book birthday photoshoot ya mtoto wako leo na King Solomon Studio.📸

Another year older, another reason to smile bigger, happy birthday Viver 🤍Jipongeze kwa kuongeza mwaka kwa picha zenye u...
03/08/2026

Another year older, another reason to smile bigger, happy birthday Viver 🤍
Jipongeze kwa kuongeza mwaka kwa picha zenye ubora na hisia za kweli. Weka booking yako leo 0778570553

Furaha ya utotoni inastahili kuhifadhiwa kwa picha zenye ubora na hisia za kweli.🩵📸Karibu King Solomon Studio  tuhifadhi...
03/08/2026

Furaha ya utotoni inastahili kuhifadhiwa kwa picha zenye ubora na hisia za kweli.🩵📸

Karibu King Solomon Studio tuhifadhi tabasamu la mtoto wako.
0778570553

Happy birthday baby girl 🤍🩷Karibu King Solomon Studio tukuhifadhie kila hatua ya ukuaji wa mtoto wako kwa picha zenye ub...
02/08/2026

Happy birthday baby girl 🤍🩷
Karibu King Solomon Studio tukuhifadhie kila hatua ya ukuaji wa mtoto wako kwa picha zenye ubora na hisia za kweli.
0778570553

Macho ya mama humwona mtoto wake k**a zawadi ya maisha.Karibu King Solomon Studio, tusimulie hadithi yenu kupitia picha ...
29/07/2026

Macho ya mama humwona mtoto wake k**a zawadi ya maisha.
Karibu King Solomon Studio, tusimulie hadithi yenu kupitia picha zenye hisia za kweli.

Address

Makumbusho Bus Stand
Dar Es Salaam
14107

Opening Hours

Monday 07:30 - 19:00
Tuesday 07:30 - 19:00
Wednesday 07:30 - 19:00
Thursday 07:30 - 19:00
Friday 07:30 - 19:00
Saturday 07:30 - 19:00

Telephone

+255713370553

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kingsolomonstudio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kingsolomonstudio:

Shortcuts

Share