Jujó Yanga News

Jujó Yanga News Sports news

25/08/2026

With Castor Yanga news – I just got recognised as one of their top fans! 🎉

🤣🤣🤣🤣
25/08/2026

🤣🤣🤣🤣

🫡🫡
24/08/2026

🫡🫡

21/08/2026
  🕊️🕊️ Kwa Masikitiko makubwa Uongozi wa Club ya Young Africans wanasikitika kutangaza kifo cha Mjomba Penta ambaye alik...
21/08/2026

🕊️🕊️

Kwa Masikitiko makubwa Uongozi wa Club ya Young Africans wanasikitika kutangaza kifo cha Mjomba Penta ambaye alikuwa moja ya makamanda Hodari waliopiginia nembo ya Young Africans Club 😭🙏🏾

Kifo ni Fumbo kubwa, Mungu akulaze Mahali pema, Tutakukumbuka kwa matendo yako mazuri, ucheshi na nasaha kwa Vijana Ulikuwa zaidi ya Mjomba 🙏🏼..

REST IN PEACE PENTA 🕊️🕊️

🚨Rasmi: Allan Okello ametambulishwa K**a Mchezaji mpya wa FAR Rabat.Yanga wameingiza $1.2m✅
20/08/2026

🚨Rasmi: Allan Okello ametambulishwa K**a Mchezaji mpya wa FAR Rabat.

Yanga wameingiza $1.2m✅

Fundiiiii
20/08/2026

Fundiiiii

Alizaliwa kucheza Yanga,ana D.N.A ya Yanga…..nunueni wachezaji 200 ila nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza iko pale pal...
20/08/2026

Alizaliwa kucheza Yanga,ana D.N.A ya Yanga…..nunueni wachezaji 200 ila nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza iko pale pale.

Maxi Mpia Nzengeli What a player🙌

🚨💣𝐉𝐔𝐒𝐓 𝐈𝐍: Mohamed Damaro,amerejea Singida baada ya mkopo wake na Yanga kuisha.Damaro tayari ameanza mazoezi na Singida....
20/08/2026

🚨💣𝐉𝐔𝐒𝐓 𝐈𝐍: Mohamed Damaro,amerejea Singida baada ya mkopo wake na Yanga kuisha.

Damaro tayari ameanza mazoezi na Singida.

Pia mlinzi mpya wa Yanga kutoka Mashujaa,Abdulnassir Mohamed Gamal,amejiunga na Singida kwa mkopo wa msimu mzima.

Full Time...
20/08/2026

Full Time...

Address

Kimara
Dar Es Salaam
SPORTS

Telephone

+255789499140

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jujó Yanga News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jujó Yanga News:

Shortcuts

Share