17/06/2026
One of my Mental,huyu mchizi wakati naanza kujifunza Camera Sh*ts
He’s the one alinielekeza each and everythings kipindi ambapo hata Sijui button to shoot..
Siwezi Sema ni kwasababu wote we present Moro town Ila ni kwasababu Ana Roho safi,one of the best people ambao hata akikuzunguuka kwenye maisha hakuzunguuki😂😂😂😂
Real n***a 100%
Ishi Sana Blood🙌🏻
Kingcode wedding studios
Thanks for Keepipng You brothers together🙌🏻