22/04/2026
Tuna weza kuanza challenge ya huu wimbo kuanzia sasa , una jirecord kipande cha video unacho kipenda kisha unanitumia kwa WhatsApp number 0626561191 barikiwa kwa kufanya hivyo tutakuwa tuna endelea kuwa support hawa ndugu zetu 🙏🏽
Mambo ni 🔥
https://youtu.be/mPP3r3bFrbo?si=w-0zemrpYpRpOr0F ❤️✅🔥🔥🔥
🎵Wimbo: Akili Kichwani
✍️Mtunzi: Pendo
🎤Waimbaji: Dumila Mission SDA Youth Choir
🎥 Video: Yomystudios Ltd EstAfrica.
📞 MAWASILIANO (Booking Production):
0715 818 838
0626561191
🔔 Usisahau:
✔ Subscribe
✔ Like
✔ Comment
✔ Share kwa wengine ili Injili iwafikie wengi zaidi.