Dray

Dray Follow my

Nyuma ya dunia kuna watu wanaitwa walimwengu hawa ndio watu hatari sana kwenye historia ya binadamu.Mlimwengu unaweza ku...
22/07/2026

Nyuma ya dunia kuna watu wanaitwa walimwengu hawa ndio watu hatari sana kwenye historia ya binadamu.

Mlimwengu unaweza kucheka nae asubuhi lakini usiku akakuvamia na jeshi lake lisionekana na kukuharibia kila kitu chako kizuri.

Mbele ya mlimwengu unaweza ukawa unafanya juhudi zako vizuri unajituma zaidi ya punda lakini kumbe jitihada zako kaziweka mkononi mwake alishaapa kuwa hufanikiwi.

Bora ukutane na mnyama unaweza kumtoka kuliko mchawi au hasid. Mchawi ni binadamu mwenye roho mbaya kuliko binadamu yoyote duniani.

Mchawi hana huruma, Mchawi huwa hajali, Mchawi hana amani akikuona unapiga hatua. Mchawi huwa haofii gharama akitaka jambo lake. Usijiamini sana inawezekana hali unayopitia sasa kuna nguvu hasi ya walimwengu washaipitisha ndani yako.

20/07/2026

 #الأرجنتين
20/07/2026

#الأرجنتين

😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
20/07/2026

😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

😭😭😭🙏🙏🙏
20/07/2026

😭😭😭🙏🙏🙏

Address

Masaki

Telephone

+255768735388

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dray posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dray:

Shortcuts

Share

Category