Celsis_events

Celsis_events Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Celsis_events, Photographer, Uru.

05/04/2026
Tunajifunza na Kukua""Kukua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa wateja wetu wote ambao hamkuridhishwa na hudu...
01/01/2026

Tunajifunza na Kukua"
"Kukua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa wateja wetu wote ambao hamkuridhishwa na huduma zetu kwa namna moja au nyingine mwaka huu, tunasema POLE SANA na tunawaomba radhi. 🙏
Maoni yenu yametusaidia kuona wapi pa kurekebisha. Mwaka 2026, tegemea huduma bora, ya kipekee na yenye tabasamu zaidi! 🌟✨"

Katika msimu huu wa baridi na sherehe, tunawatumia salamu za upendo na joto kutoka Celsis Events. Tunajali kila tabasamu...
24/12/2025

Katika msimu huu wa baridi na sherehe, tunawatumia salamu za upendo na joto kutoka Celsis Events. Tunajali kila tabasamu mlilotupa na kila imani mliyoweka mikononi mwetu. Tunawatakia msimu wa mapumziko uliotawaliwa na upendo wa familia, baraka za Mungu, na usalama wa kila mmoja wenu. Nyie ni zaidi ya wateja kwetu, nyie ni familia. Merry Christmas! 🎄✨

Address

Uru

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Celsis_events posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category